Lionel Messi ashinda Tuzo ya Fifa ya Mchezaji Bora Duniani wa Mwaka 2015 maarufu kama Ballon d'Or.
Messi baada ya kusomwa jina lake na aluekuwa mchezaji wa brazili ambae na yeye alishaibeba tuzo hiyo miaka ya nyuma Ricardo Kaka alisema maneno haya.
Messi: "It's a very special moment for me. It's incredible that it's my fifth. It's much more than I dreamed of as a kid."
Messi: "Thanks to my teammates, wouldn't be here without them, and to football, for all that it has given me."
Post a Comment