Ratiba ya michuano ya Europa League hatua ya 32 bora imepangwa leo baada ya ile ya ligi ya mabingwa Ulaya ambapo Timu 32 zimetinga katika hatua hii.
Manchester United moja ya timu kubwa barani Ulaya iko katika michuano hiyo na imepangwa kukutana na St Ettienne ya Ufaransa pambano litakaloshuhudia Paul Pogba akikutana na ndugu yake Florentin ambaye anaichezea St Ettienne ya League One.
Ratiba ya mechi hizo inaonyesha kwamba mechi za kwanza zitachezwa Februari 16 na marudiano ni Februari 23 mwaka 2017.
RATIBA KAMILI HII HAPA
Athletic Bilbao v Apoel NicosiaLegia
Warsaw v Ajax
Anderlecht v Zenit St PetersburgFC
Astra Giurgiu v Genk
Man Utd v St Etienne
Villarreal v Roma
Ludogorets v FC Copenhagen
Celta Vigo v Shakhtar Donetsk
Olympiacos v OsmanlisporAA
Gent v Tottenham
Rostov v Sparta Prague
Krasnodar v Fenerbahce
Borussia M'gladbach v Fiorentina
AZ vs Lyon
Hapoel Beer Sheva v Besiktas
PAOK Salonika v Schalke 04
Post a Comment