Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: VAN DER PRUIJM: NIMEKUJA KUENDELEZA PALE NILIPOISHIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa zamani wa Yanga mdachi Hans Van Der Pruijm amesema amerudi tena kwenye timu yake ya zamani kuendeleza pale alipoishia, ‘Falsafa ...
Kocha wa zamani wa Yanga mdachi Hans Van Der Pruijm amesema amerudi tena kwenye timu yake ya zamani kuendeleza pale alipoishia, ‘Falsafa yangu ipo pale pale ya kucheza soka la kushambulia, kwasababu naamini ili ushinde mchezo ni lazima ufunge mabao ya kutosha’. Kocha huyo amesema bado hajasaini mkataba ila ana matumaini makubwa atamalizana na wakurugenzi wa klabu pale watakapokutana, Van Pruijm anakuja kuziba pengo la kocha aliyetimuliwa Mbrazil Marcio Maximo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top