Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: GOMEZ KUKAA NJE MSIMU MZIMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Beki wa kushoto wa klabu ya Liverpool, Joe Gomezatakua nje ya uwanja kwa msimu msimu uliobaki Gomez mwenye umri wa miaka 18 aliumia goti...
Beki wa kushoto wa klabu ya Liverpool, Joe Gomezatakua nje ya uwanja kwa msimu msimu uliobaki
Gomez mwenye umri wa miaka 18 aliumia goti akiichezea timu ya taifa ya England chini ya miaka 21 mchezo dhidi ya Kazakhstan.
Kinda huyo amecheza michezo mitano ya ligi kuu msimu huu toka alipojiunga na Liverpool akitokea timu ya Charlton kwa dau la pauni million 3.5.
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp anatarajia kuanza mchezo wake wa kwanza siku ya jumamosi dhidi ya Tottenham huku akikosa huduma ya beki huyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top