Mzee Ally Samatta ambaye alikuwa ameambatana na familia nzima wakiwemo
kaka na wadogo zake Mbwana Samatta amesema, hawajawahi kwenda kumpokea
Samatta uwanja wa ndege wakiwa kama familia lakini leo waliamua kufanya
kitu cha tofauti kwasababu wanahisi hakuna kitu kingine ambacho wanaweza
kukifanya kikamfurahisha zaidi ya kwenda uwanja wa ndege kama familia
na kumlaki mtoto wao.
Akizungumza mara baada ya kumpokea
mtoto wao huyo aliyewasili leo akitokea Lubumbashi kuja nchini kujiunga
na Taifa Stars, baba mzazi wa Samatta, Ally Pazi Samatta, amesema kuwa
mafunzo ya kijeshi waliyopitia wazazi wake ndiyo yalitoa mwongozo wa
maisha ya Samatta.
SAMMATTA APOKELEWA NA FAMILIA YAKE HADI RAHA
Title: SAMMATTA APOKELEWA NA FAMILIA YAKE HADI RAHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mzee Ally Samatta ambaye alikuwa ameambatana na familia nzima wakiwemo kaka na wadogo zake Mbwana Samatta amesema, hawajawahi kwenda kump...


Post a Comment