Mabingwa watetezi Yanga Sc leo hii watakuwa na nafsi ya kuongoza ligi endapo watashinda mchezo wao dhidi ya Mwadui Fc kwenye uwanja wa Taifa.
Mchezo utaanza saa 10.30 jioni,Yanga wataingia uwanjani wakijua kabisa tayari mahasimu wao simba sc jana walipoteza mchezo dhidi ya Azam fc na kywafanya kubakia na point zao 45 ikiwa na michezo 20 tayari.
Mwalimu George ameamua kumuanzisha Nahodha Harounb Nadir Canavaro kwenye safu yake ya ulinzi leo hii dhidi ya Mwadui.
Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Mwadui leo
1. Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Justin Zullu
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Haruna Niyonzima
11. Deusi Kaseke
Akiba
- Beno Kakolanya
- Oscar Joshua
- Yusufu Mhilu
- Emanuel Martin
- Juma Saidi
- Obrey Chirwa
- Geofrey Mwashuiya
Post a Comment