Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: UWANJA WA MAZOEZI WAFUNGWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Uwanja wa mazoezi wa klabu ya  Manchester United umefungwa kwa sababu ya kuenea kwa virusi vya Corona kwa baadhi ya wachezaji wa Manchester...


Uwanja wa mazoezi wa klabu ya  Manchester United umefungwa kwa sababu ya kuenea kwa virusi vya Corona kwa baadhi ya wachezaji wa Manchester United.

Kuna uwezekano mchezo wake dhidi ya Brentford siku ya jumanne kuahirishwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top