Michezo ya raundi ya pili ya kuwania tiketi ya kucheza kombe la dunia la
mwaka 2018 litakalofanyika urusi kuendelea leo.
Timu ya taifa ya Kenya
Harambe Stars watakuwa wenyeji wa visiwa vya Cape Verde huku mchezo wa
marudiano ukitarajiwa funyika siku ya Jumanne ijayo.
Libya watakua wenyeji
wa Rwanda, wakati Angola watakua nyumbani kuwakaribisha Afrika ya kusini.
Michezo mingine
itayopigwa leo hii ni Niger na Cameroon Liberia na Ivory Coast Swaziland na
Nigeria Mauritania na Tunisia Madagascar na Senegal Comoros na Ghana

Post a Comment