Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: JUVENTUS MOTO CHINI UKO ITALY
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakongwe kutoka jiji la Turin, klabu ya Juventus imezidi kujikita kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu ya nchini humo (Serie A) baada ya kuib...

Wakongwe kutoka jiji la Turin, klabu ya Juventus imezidi kujikita kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu ya nchini humo (Serie A) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2 – 0 dhidi ya Crotone na kufikisha pointi 57.

Mabao ya mchezo huo yamefungwa na Mario Mandzukic na Gonzalo Higuan katika kipindi cha mchezo, na kufanya kocha Massimiliano kutoka kifua mbele ugenini.

Baada ya kuwa timu zote zimecheza michezo 23, Juventus wanaongoza ligi kwa tofauti 57, ponti 7 zaidi dhidi y wanaoshika nafasi ya pili klabu ya As Roma yenye pointi 50.

Kwa msimu wa tatu mfululizo, upinzani wa ubingwa Italia umebakia kuwa wa timu za As Ro,a na Juventus, kufuatia vilabu vya Lazio, SS Napoli, AC Milan, Inter Milan na Fiorentina kutofanya vizuri kwenye michezo ya ligi kuu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top