- David de Gea
- Born: November 7, 1990 (age 24), Madrid, Spain
- Height: 1.93 m
- Weight: 76 kg
- Salary: 3.9 million GBP (2014)
- Current teams: Spain national football team (Goalkeeper), Manchester United F.C. (#1 / Goalkeeper)
- Huyu ni goli kipa namba moja wa klabu ya manchester united ambae ni majuzi tu ametoka kusign mkataba mpya na klabu yake ya Manchester United ambao utamfanya akae katika klabu yake hiyo mpaka mwaka 2019 ambapo kwa sasa amekuwa golikipa anae pokea mshahara mkubwa sana kwa wiki wa paund mil 200.
- Unapokuwa na mtu kama de gea katika lango lako kwakweli unakuwa na matumaini makubwa sana ya ushindi kwani naamini kama united ata kama wangefanikiwa kumpata Ramos au Otamendi alafu wakashindwa mbakisha David de Gea bado ingekuwa kazi bure kabisa kutokana na ubora ambao huya kijana mzaliwa wa atletico anavyofanya kazi kwa kutumia miguu na mikono.
- Safi sana united kwa kulamba Dume.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment