Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: MANJI AKUBALI YAISHE YANGA KUSAINI MKATABA NA AZAM TV
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HATIMAYE Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji amemaliza tofauti zake na kampuni ya Azam TV na kukubali klabu kusaini mikataba yote...
HATIMAYE Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji amemaliza tofauti zake na kampuni ya Azam TV na kukubali klabu kusaini mikataba yote ya kampuni hiyo, mali ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake.
Habari ambazo BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE imezipata kutoka ndani ya Yanga SC, ni kwamba klabu hiyo sasa inatarajiwa kusaini Mkataba wa haki za Televisheni wa Azam FC na pia wa kipindi cha Yanga TV, ambayo kwa pamoja itawafanya wapokee si chini ya Sh. Milioni 600 za ‘chap chap’.
Mechi za Yanga SC zimekuwa zikionyeshwa kama kawaida na Azam TV, lakini kwa miaka yote miwili klabu haijachukua mgawo wake Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Julai 29, mwaka 2013 Manji alipinga vikali TFF na Bodi ya Ligi kuamua peke yao kuingia Mkataba wa miaka mitatu Azam TV akidai haijawahi kutokea katika ligi ya mpira wa miguu ya kisasa kulazimishwa kwa Klabu inayoshindana katika ligi kuachia haki zake za urushwaji wa michezo zic

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top