Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: HAMILTON ATWAA TAJI LINGINE MSIMU HUU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HAMILTON AKISHANGILIA UBINGWA WAKE Dereva wa magari yaendayo kasi ya Fomula 1 Lewis Hamilton ameendelea kung'ara msimu huu baada ya k...
HAMILTON AKISHANGILIA UBINGWA WAKE

Dereva wa magari yaendayo kasi ya Fomula 1 Lewis Hamilton ameendelea kung'ara msimu huu baada ya kutwaa taji katika michuano ya United States Grand Prix,
Nyota huyo ametwaa hilo la michuano ya dunia na kuwa taji lake la tatu kwa msimu huu wa michuano ya Fomula 1.
Hamilton dereva wa timu ya Mercedes, anakua mwingereza wa pili baada ya Sir Jackie Stewart, kutwaa matatu katika mbio hizo za magari.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top