Klabu bingwa Tanzania jana ilicheza mechi yake na timu ya kutoka
turiani morogoro Mtibwa sukari.
Yanga waliibuka kwa magoli mawili kwa bila kwenye mchezo huo.
kila mmoja akiwa kama mwana michezo lazma anafahamu kabisa kuwa mji au mkoa unapokuwa na mechi basi fursa huwa zinakuwa nyingi sana eneo ambapo mechi inachezwa kwani kunakuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu tena kutoka sehemu mbali mbali na tofauti tofauti kwa maeneo ya karibu na mkoa husika ambapo mechi inachezewa.
Kwa mchezo wa jana pale morogoro watu walikuwa wengi sana wanaotoka dar na mikoa ya karibu kwaajili yakuja kuangalia mechi hiyo iliokuwa kubwa sana na muimu kwa pande zote mbili.
Nje ya uwanja wa jamhuri walijaaa wafanya biashara sana sana wengi walikuwa wa jezi ila chakushangaza jezi zilizokuwa zikiuzwa zilikuwa za simba na yanga pamoja na chache za azam wakati mechi ni kati ya mtibwa tena wapo nyumbani ila jezi zao hazikuwepo.
Kingine kukubwa kikichonifanya nishangae zaidi ni kulikuwa na fursa za kupata kadi za uanachama ila chaajabu tena uanachama ulikuwa unatolewa kwa simba na yanga tu wakati mechi ni ya mtibwa na yanga tena kwenye uwanja wa mtibwa na kwenye mkoa wake.
Sasa nilibakia najiuliza na kushangaaa yafuatayo.

1 Inamaaana simba na yanga zina nguvu mpaka kwenye mikoa ya watu wengine?
2 Simba na yanga ndio vilabu pekee ambavyo vinaweza kuwa na wanachama?
3 Timu kama mtibwa wao hawajui jinsi yakutumia fursa za kuwa na mechi nyumbani na kutumia njia hiyo kuuza jezi zao na kuweza kupata wanachama?
4 Je zile jezi za simba na yanga zinazouzwa kila napoenda Tanzania kuangalia mechi zao wanapata walau ata asilimia 10 tu ya mauzo yake.?
Daaah kwa mtazamo wangi sijui kama yeto haya yangezingatiwa kama
kungekuwa na timu maskini hapa Tanzania kwani kiukweli wa Tanzania wanapenda
sana mpira na wanazipenda sana timu zao.

Post a Comment