Krul
aliumia goti la mguu wa kulia wakati wa mchezo wa timu ya Taifa ya Uholanzi
ikicheza na Kazakhstan kuwania kufuzu kucheza kombe la Ulaya
Golikipa
huyo mwenye miaka 27 atarudi kwenye kambi ya timu yake Tyneside kwa matibatu
zaidi, imesema taarifa ya klabu yake ya Newcastle.
Katika
msimu huu wa ligi kuu ya England Krul amecheza michezo minane huku timu yake
ikiburuza mkia
Kipa
Freddie Woodman aliyekua kwa mkopo katika timu ya daraja la pili ya Crawley
Town amerejeshwa katika timu hiyo.



Post a Comment