Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: "SABABU HIZI HUENDA MAN UNITED TUKAWA BORA KATIKA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU HUU"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 • MCHANGANYIKO WA VIJANA NA UZOEFU  United ina wachezaji wawili wenye weledi mkubwa ktk mashindano haya makubwa ya Champions League y...
 • MCHANGANYIKO WA VIJANA NA UZOEFU

 United ina wachezaji wawili wenye weledi mkubwa ktk mashindano haya makubwa ya Champions League yupo Michael Carrick na Bastian Schweinsteiger,Wachezaji hawa wana uwezo mkubwa kibinafsi na hata kitimu pindi timu inapokuwa na mchezaji kama Bastian me naamini ni mtu atakaye imarisha timu ktk upande ambao ata utumia Bastian ni Mchezaj aliye iwakilisha taifa la ujerumani ktk ubora wa aina yake Mchezaj huyu ameiwezesha taifa lake kufanikiwa kupata ubingwa wa dunia mwaka 2014 ktk mafanikio ya aina yake hata pale alipokuwa na Munich.
Kwa Michael Carrick sina cha kumnyima ktk upande wa Klabu ya United mchezaji amekuwa muhimu sana ktk upande wetu na amepitia ktk michuano mingi mikubwa alipokuwa na United tangu enzi zile mpaka sasa Lkn kwa upande wa Taifa mambo yake hayakuwa mazuri sana kama ilivyo kwa Bastian,Ukimtazama pia Wayne Rooney pia ni vastly ktk soka lake la ulaya na Ana record yake binafsi kwa kufunga magoli 29 mpaka sasa ktk michuano hii nafikiria joto lake linafahamika sana.

   Sasa tuje kuwatizama hawa vijana wetu wa U-21 akiwemo Memphis Depay na Anthony Martial vijana Hawa wana nishati tele na shauku kubwa ya kuleta mafanikio kwa upande wao wa kutengeneza majina yao na hata ktk klabu ya United ndani ya Msimu huu.
  Meneja Louis Van Gaal ni kocha wa aina yake mwenye uzoefu mkubwa ktk hii michuano ya Ulaya na tuliweza kumtambua vyema pindi alipokuwa na klabu kongwe zikiwemo Ajax,Bayern Munich na Barcelona aliziwezesha kwa Manufaa makubwa mno,Na huenda tukapata kuona tendo hili kufanyika mwaka huu akiwa na United.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top