Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: NIGERIA MABINGWA WA DUNIA U17
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana. Nigeria iliwachapa M...

Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana.
Nigeria iliwachapa Mali katika mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 mshambulia Victor Osimhen ndie aliyeanza kuipatia timu yake bao la kwanza na Funsho Ibrahim Bamgboye akiongeza bao la pili na la ushindi.
Kikosi cha cha vijana cha Nigeria kimeweza kutetea ubingwa wake baada ya kutwaa taji hilo la dunia la vijana mwaka 2013 walipoishinda Meixco kwa mabao 3-0.
Mshambuliajia Victor Osimhen ameibuka fungungaji bora wa kihistoria kwa kuzipasia nyavu jumla ya mabao 10 katika michuano hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top