Nahodha msaidizi wa Manchester United, Michael Carrick amelalamika tuhuma kuwa hawachezi vizuri ili kulinda kibarua cha kocha wao.
Wachezaji wa Man United wamelaumiwa baada ya kupoteza mchezo wanne mfululizo dhidi ya stoke city kwa kuchapwa mabo 2-0.
Nahodha huyu amesema "Ni ukosefu wa nidhamu kusema wachezaji hawajitumi kadri ya uwezo wao kwa ajili ya kocha Luis Van Gaal, inaumiza sana sisi sio binadamu wa aina hiyo."
Man United watashuka dimbani dhidi ya Chelsea katika mchezo unaofuta huku shinikizo kubwa likiwa kwa kocha wa kikosi hicho Luis Van Gaal
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment