Ligi kuu ya soka ya England inatarajiwa kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kumi baada ya mapumziko kupisha Mechi za FA.
kesho jumamosi jumla ya michezo nane itapigwa katika viwanja mbalimbali ambapo mechi hizo ni ,Norwich city watawaalika Liverpool,Crystal Palace watakuwa wenyeji wa Tottenham, Leicester dhidi ya Stoke,Man Utd watakuwa nyumbani dhidi ya Southampton, Sunderland watachuana na Bournemouth, Watford watakuwa wenyeji wa Newcastle, West Brom watawaalika Aston Villa na Man City watakuwa wageni wa West Ham United.
Jumapili ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo miwili ambapo Everton watakuwa wenyeji wa Swansea city na Arsenal watakuwa nyumbani Emirate dhidi ya Chelsea (The blues).
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Post a Comment