Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: HATIMAE SIMBA NAO WAPATA NAFASI YA KUTOKA NJE YA TANZANIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sasa umekuwa mchezo wa kuigiza, taarifa zinaeleza Simba wanajiandaa kwenda nchini Kenya kushiriki michuano maalum. Simba wamechukua uamuzi...


Sasa umekuwa mchezo wa kuigiza, taarifa zinaeleza Simba wanajiandaa kwenda nchini Kenya kushiriki michuano maalum.

Simba wamechukua uamuzi huo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TTF) kuipa ruhusa Azam FC kushiriki michuano maalum nchini Zambia.

Hali hiyo ilisababisha Yanga, kutangaza kwenda kuweka kambi nchini Afrika Kusini.

Yote hiyo inatokana na TFF kuamua kuahirisha kienyeji mechi za Ligi Kuu Bara za Azam FC ili iende katika michuano hiyo maalum.

Simba nao wanatarajia kwenda Kenya au nchi nyingine jirani.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top