Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: MANCHESTER UNITED KUFANYA USAJILI BEKI WA PEMBENI.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa Man Unite,Louis Van Gaal leo mchana  ameongea na waandishi wa habari na moja ya habari kubwa ni kuwa Uongozi wa Man Utd unategemea...

Kocha wa Man Unite,Louis Van Gaal leo mchana  ameongea na waandishi wa habari na moja ya habari kubwa ni kuwa Uongozi wa Man Utd unategemea kusajili beki mmoja wa pembeni kutokana na Ashley Young kuongeza idadi ya Mabeki majeruhi akiungana na Luke Shaw, Antonio Valencia pamoja na Marcos Rojo na kuhitimisha idadi kubwa ya beki majeruhi Manchester United.

Man Uted imejaribu kuwatumia vijana  chipukizi (cameron) Borthwick -Jackson pamoja na (Guillermo) Varela, wamefanya vizuri , lakini bado wanahitaji beki mwenye kiwango kikubwa atakae kua na uwezo mkubwa.

Phil Jones pamoja na Bastian Schwasteiger hawatahusika kwenye mechi ya kesho Jumamosi kutokana na majeruhi yanaowasumbua.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top