Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: MTIBWA WAGEUKA NYANYA KWA SIMBA TAIFA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bao lilofungwa mapema n Hamis Kiiza mshambuliaji toka Uganda liliwapa ushindi mzuri wa mapema simba Simba ambao walicheza kwa kasi dakika 4...

Bao lilofungwa mapema n Hamis Kiiza mshambuliaji toka Uganda liliwapa ushindi mzuri wa mapema simba

Simba ambao walicheza kwa kasi dakika 45 za kipindi cha kwanza tofauti na mechi zao zilizopita waliweza kuwakamata vilivyo Mtibwa hasa eneo la katikati ya uwanja Justice Majabvi na Jonas Mkude wakisaidiwa na Mwinyi Kazimoto wakifanya kazi ya ziada kuwapoteza kabisa Mtibwa ambao katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi.

Hamis Kiiza alifunga bao hilo pekee kwa kichwa akiunganisha pasi ya Mohamed Hussein Tshabalala na kumwacha kipa kipa Wa Mtibwa Nduda akiruka bila mafanikio.

Kwa matokeo hayo Simba wamefikisha pointi 30 katika nafasi ya 3 ikiwa ni pointi 3 nyuma ya watani wao Yanga ambao kesho watacheza dhidi ya Ndanda FC

MATOKEO YA MECHI ZA LEO TANZANIA BARA
Simba 1-0 Mtibwa
Mbeya City 1-0 Mwadui FC
Stand United 1-0 Kagera Sugar
Coastal Union 1-1 Maji Maji FC
JKT Ruvu 1-5 Mgambo JKT

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top