Ebwana gazeti la The Sun la Uingereza February 9 limetaja jina la kocha mpya na sio Jose Mourinho kuwa ndio atajiunga na Man United kurithi nafasi ya Louis van Gaal mwishoni mwa
msimu,
The Sun Sport linataja jina la kocha wa Tottenham
Hotspur Pochettino ndio atarithi nafasi ya Louis van Gaal
Kitu kinachoshangaza kuhusu stori za Pochettino kujiunga na
Man United ni kwa sababu kocha huyo hana wakala, sasa
swali linakuja ni nani anafanya mawasiliano ya kumuwakilisha
kwa uongozi wa Man United ?


Post a Comment