Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: MFAHAMU REGAN POOLE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Regan Poole ni mzaliwa wa Wales ambaye alizaliwa tarehe 18 June 1998,Poole alianza maisha yake ya soka katika Academy ya Cardiff City ambayo...

Regan Poole ni mzaliwa wa Wales ambaye alizaliwa tarehe 18 June 1998,Poole alianza maisha yake ya soka katika Academy ya Cardiff City ambayo hakuweza kudumu nayo sana na ndipo akapata nafasi ya kujiunga na Academy ya Newport County.

Newport County ndio timu iliyomlea mpaka pale maskaut wa Man United walipo gundua kipaji chake na wakaweza kumchukua ndani ya mwaka 2014 na aliweza kuungana na vijana wenzake kama akina Tuanzebe na wengine wengi.

Regan Poole ni mchezaji ambaye ana mudu vizuri nafasi yake ya Centre Back kwa kiwango chake bora,Mchezaji huyu ameweza kukabidhiwa jezi namba 56 ktk klabu na sasa anaendelea kufanya mazoezi pamoja na kikosi cha kwanza.....Hata hivyo Regan amepata bahati ya kujumuishwa ktk kikosi ambacho kitashikriki Europe League ndani ya mwezi huu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. Enter your comment...Pamoja sana Mzazi...Tutafika pale tunapopataka kila kitu kitakuwa yes!

    ReplyDelete

 
Top