Uongozi wa Taifa stars supporters unawataarifu wanachama wake wote kikao cha kupitisha katiba ya TFSA kitakachofnyika siku ya jumapili katika ukumbi wa wilaya ya kinondoni magomeni.
Ukiwa kama mwanachama wa taifa stars supporters unaombwa kuhudhuria bila kukosa kikao hiki Muhimu.
Kikao kitaanza saa nne kamili asubuhi
Imetolewa Na Afisa habari TFSA
TAARIFA KWA WANACHAMA WA TFSA
Title: TAARIFA KWA WANACHAMA WA TFSA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Uongozi wa Taifa stars supporters unawataarifu wanachama wake wote kikao cha kupitisha katiba ya TFSA kitakachofnyika siku ya jumapili kati...


Post a Comment