Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: LIGI KUU TANZANIA BARA YANGA NA AZAM VIWANJANI LEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea leo Jumatano, kwa michezo miwili ya viporo kuchezwa katika viwanja vya Manungu Turiani m...
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea leo Jumatano, kwa michezo miwili ya viporo kuchezwa katika viwanja vya Manungu Turiani mkoani Morogoro na uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Young Africans wanaoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, watakua wenyeji wa Mwadui FC inayokamata nafasi ya sita katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Wakata miwa wa Turiani, Mtibwa Sugar walio katika nafsi ya nne ya msimamo wa ligi kuu watawakaribisha Azam FC walio juu yao nafasi ya tatu, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Manungu Turiani mkoani Morogoro.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top