Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: SERENGETI BOYS YAITOA SOUTH AFRICA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17'Serengeti boys' leo hii imeifunga magoli 2-0 timu ya taifa ya Afrika Kusini katika...

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17'Serengeti boys' leo hii imeifunga magoli 2-0 timu ya taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa kufuzu kombe la mataifa huru kwa vijana chini ya umri wa miaka 17.

Mechi hiyo imechezwa katika uwanja wa Azam goli la kwanza la Serengeti boys lilifungwa na Mohamed Abdallah katika dakika ya 35 na goli la pili lilifungwa na Ibrahim Abdallah dakika ya 85.

Serengeti boys Sasa itakutana na Congo Brazzaville katika hatua ya mwisho kabla ya kufuzu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top