Leo Manchester United inashuka dimbanai kuvaana na Zorya Europe league mzunguko wa pili kundi A ..
Zorya inashika nafasi ya pili kwenye ligi kuu Ukraine nyuma ya Shakhtar Donetsk .. si timu ya kuibeza sana ni wazuri na wana record nzri katika mechi zao tano zilizopita ( W 2, L 1 , D 2 )..
Kwa Historia kati ya ya Manchester United na Zorya ni kuwa hazijawahi kukutana leo ndio itakuwa ni mara yao ya kwanza kukutana. .
HABARI ZA TIMU
Kiuongo mshambuliaji wa Manchester United Henrikh Mkhytaryan amerejea kwenye mazoezi ila kunauwezekano mkubwa kutokucheza mechi ya leo. .. na vile vile luke Shaw bado ni majeruhi na ataendelea kukaa nje ... Anthony Martial amepona majeraha na piah kunauwezekano mkubwa wa kucheza game ya leo .
Alipoulizwa kocha wa Manchester United kuhusu Ibrahimovic. .alisema yupo fiti na Kunauwezekano wa kuanza mechi ya leo
Msimamo wa Kundi letu ulivyo. .
1) Feyenoord pts 3
2) Fenerbahce pts 1
3 ) Zorya pts 1
3) Manchester pts 0
Mechi ya leo ni muhimu sana kushinda


Post a Comment