Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: NGASA HURU KUJIUNGA NA TIMU YEYOTE POPOTE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekuwa mchezaji wa Toto Africans,Kagera,Yanga,Azam na Simba Mrisho Ngassa ametangaza kuvunja mkataba wake na klabu ya Free state stars in...

Aliyekuwa mchezaji wa Toto Africans,Kagera,Yanga,Azam na Simba Mrisho Ngassa ametangaza kuvunja mkataba wake na klabu ya Free state stars inayokipiga katika ligi kuu ya Afrika Kusini ABSS.

Kwa jinsi uongozi wa klabu hii unavyosema kwamba mchezaji huyu alikuwa tayari amedhamiria kutoweza kuendelea na klabu hii tangu August na ndipo Meneja mkuu wa klabu hii Rants Makoema ikabidi akutane na Kiungo huyu kwaajili ya mkataba wake
Sababu kubwa iliyoonekana kwa Kiungo Mrisho Ngassa mpaka kuvunja mkataba wake ni ukame wa mataji,inasemekana kwamba yeye ni mchezaji aliyezoea mafanikio na Klabu ya Free State Stars haipigani katika kuwania mataji.

Mwenyeye Mrisho Ngasa akiongea na blog hii alisema
"Nimeamua kuvunja mktaba wangu na sasa ninafuraha kubwa sana kwani nipo huru kujiunga na klabu yeyote ile"
Pia aliongeza na kusema
"kwa sasa nitarudi kwanza nyumbani nipumzike kidogo kisha ndio nitoe tamko rasmi kuwa nitacheza timu gani ndani au nje ya Tanzania"

Kutokana na swala hili ndipo klabu hii wakaona bora wamsajili aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Simba Sports Club,Hamis Kiiza ambaye amejiunga na klabu hiyo hivi karibuni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top