Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: TAMBWE SI MCHEZO ANALIJUA VYEMA GOLI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Yanga dhidi ya JKT Ruvu ndio mchezo wa kwanza kucheza baada ya kocha wao mkuu Hans van Pluijm kujiuzulu, wakati wengi wakiwa wanatafuta saba...

Yanga dhidi ya JKT Ruvu ndio mchezo wa kwanza kucheza baada ya kocha wao mkuu Hans van Pluijm kujiuzulu, wakati wengi wakiwa wanatafuta sababu za msingi za kwa nini uongozi wameruhusu ajiuzulu, timu yao leo imeifunga JKT Ruvu kwa goli 4-0.

Magoli ya ushindi wa Yanga yalifungwa na mzambia Obrey Chirwa dakika ya 6, Amissi Tambwe aliyefunga mawili dakika ya  64 naSimon Msuva akafunga goli la tatu dakika ya 83 kabla ya Tambwe kuhitimisha idadi ya magoli hayo kwa kufunga goli la mwisho dakika ya 92.
Akiongea mara baada ya mchezo  Mwalimu Mwambusi alusema"nashukuru sana kwa ushindi pia nawashukuru sana wachezaji kwa kufanya na kufuata yale niliokuwa nimewaelekeza"
Pia aliongeza kuwa "ushindi hii tunatuma kama zawadi kwa aliekuwa mwalimu mkuu wetu Hans Van Da Plujin kwani tuliishi mae kwa mapenzi makubwa na tutamkumbuka daimua"
Yanga mchezo ujao atacheza dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa Uhuru.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top