Mwalimu Hans aonekana kuelewa kiwango cha kipa wake Beno kakolanya aendelea kumpa nafasi kwenye kikosi cha kwanza tena leo hii dhidi ya Ruvu Shooting.
Kikosi kamili iki hapa.
1. Beno Kakolanya
2. Hassani Kessy
3. Mwinyi Haji
4. Kelvin Yondani
5. Andrew Vicent
6. Thabani Kamusoko
7. Saimoni Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Amisi Tambwe
11. Obrey Chirwa
Akiba
- Deogratius Munishi
- Pato Ngonyani
- Oscar Joshua
- Deusi Kaseke
- Juma Mahadhi
- Saidi Juma
- Anthony Mateo


Post a Comment