▪kombe la mapinduzi zanzibar linatarajiwa kuanza tar 30 mwezi wa 12 na kumalizika january 13.
Timu zinazo shiriki ni hizi zifuatazo.
- Young Africans SC (Tanzania)
- Taifa Ya Jang'ombe (Tz Visiwani)
- Jang'ombe Boys (Tz Visiwani).
- Kikosi Cha Valantia Zanzibar (KVZ) - Tz Visiwani.
- URA (Uganda)
- Simba Sports Club (Tanzania)
-Azam FC (Tanzania)
-Zimamoto (Tz visiwani)
- Jamhuri (Tz Visiwani)
▪ RATIBA YA YANGA SC.
2/1/2017 Yanga vs Jamhuri saa 2:30 usiku.
4/1/2017 Zimamoto vs Yanga saa 10:00 alasiri.
6/1/2017Yanga vs Azam saa 2:30 usiku.
10/1/2017 Saa 10: 00 nusu fainal ya kwanza ,
Saa 2:30 nusu fainal ya pili.
13/1/2017 FAINAL saa 2: 30 usiku.
Post a Comment