Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga Sc wanaingia uwanjani wakiwa na kumbu kumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Stand kule shinyanga.
Leo hii mwalimu Goerge kaamua kuanza hivi na kikosi chake.
1. Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4.Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Justin Zullu
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Donald Ngoma
10. Obrey Chirwa
11. Haruna Niyonzima
Akiba
- Beno Kakolanya
- Hassani Kessy
- Saidi Juma
- Deusi Kaseke
- Juma Mahadhi
- Emanuel Martin
Post a Comment