Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: LIGI 10 BORA AFRIKA ZENYE MVUTO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
L   igi kuu 10 bora Afrika zenye mvuto zaidi ( Statistically ranked) kwa mwaka 2021 1. Morocco 🇲🇦  Hii inaitwa Botola-Pro league ndio inas...
L


  igi kuu 10 bora Afrika zenye mvuto zaidi ( Statistically ranked) kwa mwaka 2021

1. Morocco 🇲🇦 

Hii inaitwa Botola-Pro league ndio inashika namba moja barani Afrika.

2. Egypt 🇪🇬

Inaitwa Egyptian premier league. Inashika namba mbili.

3. Tunisia 🇹🇳 

Inakwenda kwa jina la ligue professionelle. Inashika namba tatu kwa ubora barani Afrika kwa mwaka 2021.

4. DR Congo 🇨🇩

Ligi ya bana kongo hii. Inakwenda kwa jina la Lina foot au Vodacom ligue

5. Algeria 🇩🇿 

Miamba ya Afrika hii. Ligi yao inaitwa Algeria ligue. 

6. South Africa 🇿🇦 

Wanashika nafasi ya sita kwa mwaka 2021 . Jina la ligi yao ni Premier Soccer league 

7. Zambia 🇿🇲 

Wapo ndani ya 10 bora ya Afrika wakishika namba 7 kwa jina la Super league.

8. Nigeria 🇳🇬 

Jina la ligi yao ni Nigeria Professional Football League (NPFL)

9. Guinea 🇬🇳 

Wanakwenda kwa jina la League 1. Hawa wameshuka, kwa miaka mitano iliyopita walikuwa hawatoki ndani ya sita bora.

10. Angola 🇦🇴 

Hawa ndio wanafunga 10 bora ya 2021 ma ligi yao yenye jina la GIRABOLA.

NB:  Vigezo vilivyotumika ni ligi husika kutoa timu zilizofanya vyema michuano ya CAF. Volume ya watu kuifuatilia ligi husika kila pembe ya Afrika na profile za wachezaji wanaocheza ligi husika.

Tanzania inashika nafasi ya 13 kwa msimu huo tofauti na msimu wa 2020 ilipoingia ndani ya 10 bora kwa kushika nafasi ya 8.

Kenya nafasi ya 15, Uganda nafasi ya 19, Rwanda 24 na Burundi nafasi ya 39.


About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. NBC Premier League ..... Nafasi ya 13 imeporomoka kwa nafasi 05,ni anguko kubwa sana kutoka nafasi ya 08 Msimu 2020-2021 ..... Vilabu,TFF,Bodi ya Ligi na wahusika wote tujitathimini na kufanya marekebisho penye kuhitajika mabadiliko.

    ReplyDelete

 
Top