Straika wa Yanga, Malimi Busungu, juzi Jumatano katik mazoezi ya timu hiyo iliyopo kisiwani Pemba alitoa kali y mwaka baada ya kumvaa kocha mkuu raia wa Uholanzi, Hans Der Pluijm akimtaka ampatie dakika 30 tu kwenye mchezo w kesho Jumamosi wa Ligi Kuu B ili aivuruge Simba.
Busungu, straika aliyetua akitokea Mgambo ya Tanga, mwanzoni mwa msimu huu, amejikuta akiwa chaguo la tatu la Pluijm nyuma ya Amissi Tambwe na Donald Ngoma, alifikia ha hiyo baada ya kudai kuwa ana bahati ya kuifunga Simba kila anapokutana nayo.
Busungu amesema tangu alipoa kukutana na Simba, amekuwa akiifunga, hivyo anaamini endapo Pluijm atakubali ombi lake la kumpatia dakika 30 kwenye mchezo huo, basi atawavuruga vibaya Simba kwa kuzifumania nyavu zao kwa zaidi ya mara moja.
“Najiamini kuwa naweza kufanya hivyo endapo nitapewa nafasi kwani ukuta wa Simba jinsi ulivyo hakika hakuna beki wa kunisumbua nisifanye yangu,” alisema Busungu.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Post a Comment