Rais Wa Shirikisho la Kabumbu Nchini Ghana ameamua Wanawake wawe Wanaingia bure Viwanjani ktk Mashindano Mbalimbali ili Kuwavuta WANAUME ambao huwa wanahudhuria wachache sana ktk Viwanja hivyo vya Soccer.
Rais Kwesi nyatyaki amesema wanaume wengi Wa Nchi hiyo wamekuwa Adimu sana kuonekana viwanjani kutokana na Kuvutiwa zaidi na kwenda kujirusha ma club na kuangalia soka la ulaya



Post a Comment