CLOVIS ACOSTA FERNANDES
Hili ni jina kubwa sana kwenye tasnia hii ya mpira wa miguu duniani.

Huyu ni shabiki nguli sana wa timu ya taifa ya brazil ambae amezaliwa miaka 60 iliopita.
Huyu mbrazil alianza onekana na kupata umaarufu mkubwa sana kuanzia miaka ya 90 kwenye ambapo huyu jamaa alikuwa anasafiri na timu ya taifa kokote inapokuwepo duniani ambaye aliweza kuja mpaka hapa Tanzania wakati brazili ilipocheza na timu yetu ya Taifa mechi ya kirafiki.
Clovis alionekana mtu aliumia sana na akiwa na majonzi makubwa sana pale timu yake ya brazili ilipofungwa magoli 7 na ujerani kwenye kombe la dunia mwaka 2014 kwenye ardhi yao ya nyumbani.

Huyu shabiki nguli na wakuigwa yeye amefariki kwa ugonjwa wa kansa ambao ulimtesa kwa zaidi ya miaka tisa kabla ya kuaga maisha.
Leo hii uko brazil ni kilio na nchi nzima imakosa furaha kwa msiba na pigo ili kubwa walio lipata.

Mungu amrehemu shabiki huyu nguli wa nchi ya brazili alie onyesha uzalendo kwa nchi yake kwa kipindi chote cha uhai wake
PUMZIKA KWA AMANI CLOVIS ACOSTA FERNANDES
Post a Comment