Mephins Depay mchezaji wa manchester united ambae ni raia wa uholanzi kijana ambae anasifika kwa kuwa na vipaji vingi anazidi kuonyesha ubora wake mpaka sasa kwenye ligi kuu england pia tukumbuke yeye ndio anaye vaa ile namba 7 kwenye jezi yake ambayo kila mwanamichezo anafahamu ukubwa wake pale kwenye klabu ya manchester united.
Mwishoni wa juma hili manchester united waliweza kaa kileleni baada ya ushindi wa magoli matatu kwa bila dhidi ya sunderland na moja ya magoli hayo alifunga kijana huyo kutoka uholanzi uku mengine yakifungwa na nahoza Rooney pamoja na Mata.
Baada ya mechi hiyo kumalizika kijana huyo wakiholanzi alionekana kwenye mtoko wake wa jioni akiwa na mwanadada Karrueche ambae ni mpnz wa zamani wa mwanamuziki maarufu sana Criss Brown uko jijini manchester uku wawili hao wakiaminika ni wapenzi kwani ata kipindi Depay alipokuwa mapumzikoni alikuwa akionekana akiwa nae wakila raha.
Home
»
»Unlabelled
» MEMPHINS DEPAY NA KARRUECHE WANAENDELEZA BATA UKO MANCHESTER
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Post a Comment