Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: GIANNI INFATINO KUWANIA URAIS FIFA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katibu mkuu wa shirikisho la soka ulaya,uefa, Gianni Infantino Katibu mkuu wa shirikisho la soka barani ulaya (Uefa) muitaliano Gianni In...
Katibu mkuu wa shirikisho la soka ulaya,uefa, Gianni Infantino
Katibu mkuu wa shirikisho la soka barani ulaya (Uefa) muitaliano Gianni Infantino amejitosa kwenye kinyanganyiro cha kuwania kiti cha uraisi wa shirikisho la soka dunia Fifa.
Infantino, anaunga na boss wa Uefa aliyesimamishwa Mfaransa Michel Platini, kuwania nafasi hiyo kuongoza chombo hicho cha soka.
Huku rais wa shirikisho la soka la Asia Sheikh Salman bin Ebrahim Al Khalifa pia amethibitisha kuwania cheo hicho.
Wengine wanaowania kiti hicho cha urais wa Fifa ni Mosima Gabriel maarufu kama Tokyo Sexwale, wa Afrika Kusini Prince Ali Bin al-Hussein wa Jordan, David Nakhid, wa Trinidad and Tobago, Jerome Champagne Musa Bility na Segun Odegbami wa Nigeria

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top