Timu hizi
kutoka jiji la Liverpool zilikutana kwa mara ya kwanza ilikuwa October 13,1894
ambapo everton waliibuka na ushindi wa magoli 3-0.
Mara ya mwisho kukutana ilikuwa February 7,2015 matokeo yakiwa ni 0-0.
Jumla ya mechi walizokutana ni 224, everton wakishinda michezo 66, huku michezo 70 zikienda sare na Liverpool fc kushinda michezo 88.
Mchezaji NEVILLE SOUTHALL akiwa ndie aliyecheza mechi nyingi zaidi baina ya miamba hii ya jiji la Liverpool akiwa amecheza mechi 41.
Huku gwiji la Liverpool fc katika ufungaji wa mabao IAN RUSH akiwa ndie aliyefunga magori mengi zaidi katika mipambano ya timu hizi mbili amefunga magori 25.
Huku ushindi mkubwa katika Derby hii tokea ulipoanza kuchezwa kwa mara ya kwanza mwaka 1894 ni ule waliopata Liverpool fc mwaka 1935 baada ya kuwafunga majirani zao mabao 6-0.
Merseyside Derby ndio jina lililopewa mpambano huu kati ya Everton na Liverpool fc, ambapo kiutamaduni wenyewe huita THE FRIENDLY DERBY, labda kutokana na mashabiki wengi wa timu hizi wanatoka kwenye familia moja mfano baba anaweza kuwa everton na watoto au mama wakawa Liverpool fc. Inasemekana hii ndio Derby iliyo dumu kwa muda mrefu katika ushindani wa ligi ya juu kabisa nchini England.
and "Are you watching Manchester?".
Tokea kuanzishwa kwa mfumo wa premier league mpambano baina wa timu hizi mbili ndio wenye rekodi ya kuwa na kadi nyekundu nyingi zaidi kuliko mechi zote pale England na kupewa jina la pambano la utovu wa nidhamu katika ligi kuu.
Upinzani wa timu hizi mbili uliongezeka pale mashabiki wa Everton walipowashutumu wenzao wa Liverpool kuwa wao ndio chanzo cha mahafa yaliyotokea uwanja wa HEYSEL na kusababisha timu zote za uingereza zifungiwe kucheza michuano ya ulaya.
Mahusiano mazuri yalianza kurudi baada ya kutokea maafa ya HILLSBOURGH na mashabiki wa timu zote mbili kuungana katika ile kampeni ya 96 justice dhidi ya mamlaka za ulinzi nchini humo.
Huku club nyingine kutoka jiji hilo na kuingia katika Derby hii ni Tranmere rovers ambayo ipo daraja la chini.
Mchezaji wa mwisho kufunga hat-trick yaani magori matatu katika mechi moja baina ya majirani hawa ni Steven Gerrad mwaka 2012 ambapo Liverpool fc ilishinda 3-0.
Merseyside Derby inayofuata ni tarehe 4 October 2015 nani ataibuka mbabe na nani atavunja rekodi tusubiri.

Post a Comment