Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: UJUE UWANJA WA ALGERIA STADE DU 5 JUILLET
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
uwanja utakao chezewa mechi ya stars algeria Historia fupi ya Uwanja wa Taifa Algeria.Uwanja wa Taifa wa algeria unajulikana kwa jina la...
uwanja utakao chezewa mechi ya stars algeria
Historia fupi ya Uwanja wa Taifa Algeria.Uwanja wa Taifa wa algeria unajulikana kwa jina la STADE DU 5 JUILLET 1962( kiingereza ni 5 july 1962) umeitwa hivo kwa sababu july 5 1962 ndo walijipatia uhuru kutoka kwa mfaransa.Uwanja huu ulijengwa mwaka 1970 na kufuguliwa rasmi tar17/6/ 1972 na Rais wao HOUARI BOUMEDIENE.uwanjaa huu umekuwa ukipanuliwa mara kwa mara mpaka sasa una uwezo wakubeba watazamaji uliokaa 85000.lakin tar 3/3/2010 kati wa mechi ya kirafiki baina Algeria na Serbia uwanjaa huu ulivunja rekod yakubeba watu 110000 na katika mechi hiyo Algeria alipigwa goli 3/0. Pia uwanja huu upo mtaa unaoitwa ROUTE DU 5 JUILLET,Uwanja huu unamilikiwa na Wizara ya Vijana na Michezo ya Algeria.na mwisho uwanja huu umetumika san katika michezo mbalimbaki kama vile The All- Africa Games 1978 na 2007 umetumika kama mojawapo ya viwanja katika mashindana ya Mataifa Afrika 1990

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top