Sirikisho la Soka Duniani Fifa limemfukuza kazi katibu mkuu wake Jerome Valke.
Valke, 55, raia wa Ufaransa, kwa sasa anatumikia adhabu ya kupigwa marufuku kujihusisha na shughuli zozote za soka, kutokana na tuhuma za kunufaika na uuzaji wa tiketi za Kombe la Dunia. Fifa imependekeza kuwa apigwe marufuku kujihusisha na soka kwa miaka tisa. Valke, ambaye pia anakabiliwa na tuhuma za rushwa, anakanusha madai yote hayo.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment