Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: KERR OUT RASMI SIMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simba sports club Dar es salaam 12-1-2016 Taarifa kwa vyombo vya habari Kwa masikitiko makubwa klabu ya Simba inawaarifu umma kupitia vy...

Simba sports club
Dar es salaam
12-1-2016

Taarifa kwa vyombo vya habari

Kwa masikitiko makubwa klabu ya Simba inawaarifu umma kupitia vyombo vya habari.uamuzi wake wa kuvunja mikataba yake na makocha wake.kocha mkuu Dylan Kerr na kocha wake wa makipa Iddi Salim.

Ktk uamuzi wake uliofanywa mchana huu na kikao cha kamati ya utendaji.ambapo makocha hao waliitwa.klabu ya Simba na walimu hao kwa pamoja wamekubaliana kuvunja mikataba ya ajira zao kwa faida ya pande zote mbili.

Kwa sasa kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja atakuwa na timu.huku mchakato wa kumpata kocha mkuu ukiendelea..

Mwisho uongozi unawashkuru walimu hao kwa huduma waliyoitoa katika kipindi chote cha uwepo wao klabuni.

Imetolewa na Haji S.Manara

Mkuu wa mawasiliano wa klabu ya Simba.

Simba nguvu moja

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top