Manchester City wamemsajili Anthony Caceres kutoka klabu ya Central Coast Mariners ya Australia. Kiungo huyo wa kati, 23, alijiunga na Mariners mwaka 2012, akipachika mabao matatu katika mechi 62. Meneja wa Mariners, Tony Walmsley amesema: "Tulipomnunua, kipaji chake kilikuwa wazi. Uhamisho huu unaonesha jinsi alivyopevuka. Tunahitaji kufurahi, wakati wachezaji wakiuzwa kwenda timu kubwa."
Huu ni usajili wa kwanza kwa Manchester City katika dirisha hili la usajili.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment