Deogratius Munishi " Dida" golikipa wa Yanga SC ametambulika sana kwa jina la Dida ambalo ni Nickname ya golikipa maarufu wa Brazili kwa miongo miwili iliyopita.
" Dida" ni golikipa maarufu wa timu ya taifa ya Brazil al maarufu ' selecao' ( pichani chini) . Kipa huyo ambaye ameichezea Brazil mechi 91 naye jina hilo la Dida ni nickname tu akitambulika officially kama Nelson de Jesus da Silva .
Post a Comment