Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: MSHAMBULIAJI WA WEST HAM MSENEGAL DIAFRA SAKHO APATA AJALI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mshambuliaji wa West Ham United na timu ya taifa ya Senegal Diafra Sakho amebamiza ukutani gari lake aina ya Lamborghini lenye thamani ya do...

Mshambuliaji wa West Ham United na timu ya taifa ya Senegal Diafra Sakho amebamiza ukutani gari lake aina ya Lamborghini lenye thamani ya dola 200,000, limeripoti gazeti la London Evening Standard. Sakho aligongana na gari lililokuwa likitokea kwa mbele yake na kuserereka na kugonga ukuta huo, umbali mfupi tu kutoka nyumbani kwake mashariki mwa London. Ajali hii imetokea saa tatu usiku wa Jumatatu. Sakho baadaye aliandika kupitia mtandao wa kijamii: "Samahani kama mmepata mshtuko, niko salama, nashukuru Mungu". Amesema hakuna mtu aliyeumia.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top