Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: NICHOLAS MWENDWA RAIS MPYA FKF
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa klabu inayocheza ligi ya daraja ya chini nchini Kenya Nicholas Mwendwa ameteuliwa kuwa rais mpya wa shirikisho la soka Kenya (...

Mwenyekiti wa klabu inayocheza ligi ya daraja ya chini nchini Kenya Nicholas Mwendwa ameteuliwa kuwa rais mpya wa shirikisho la soka Kenya (FKF).
Bw Mwendwa amechaguliwa kwenye uchaguzi wa taifa wa shirikisho hilo ambao ulifanyika Kasarani, Nairobi.
Aliungwa mkono na wajumbe 50 kati ya wajumbe wote 77 na kuwashinda Bw Ambrose Rachier na Ssemi Aina.
Mwendwa

Wajumbe 77 walioteuliwa kutoka kanda mbalimbali walishiriki
Aliyekuwa rais kwa miaka minne, Bw Sam Nyamweya, alijiondoa kutoka kwenye uchaguzi muda mfupi kabla ya kura kupigwa

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top