Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka
Tanzania bara Yanga imerudi tena kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo Kwa kuitandika bila huruma African
Sports ya Tanga bao 5-0
Magoli ya Yanga yalifungwa na Kelvin Yondani, Donald Ngoma, Amis Tambwe ambaye amefunga magoli mawili pamoja na Anthony Matheo.
Ushindi wa bao 5-0 walioupata Yanga dhidi ya African Sports ya Tanga, umewarejesha kwenye nafasi ya kwanza ya msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.
YANGA YAIFUMUA AFRICAN SPORTS NA KURUDI KILELENI
Title: YANGA YAIFUMUA AFRICAN SPORTS NA KURUDI KILELENI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga imerudi tena kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo Kwa kuitandika bila huruma African...



Post a Comment