Rafael Benitez ametambulishwa rasmi jana kuwa kocha mpya wa timu ya Newcastle kufuatia kuondolewa kwa aliyekuwa kocha wa timu hyo Steve McClaren.
Benitez ambaye amewahi kuifundisha Liverpool,Chelsea,Real Madrid,Intermilan na Valencia anaichukua timu hiyo ikiwa ina hali mbaya katika la ligi ya Uingereza huku kukiwa kumebakia mechi kumi pekee.



Post a Comment