Juma Abdul aliiandikia Yanga Goli la kwanza kwa shuti kali mnamo dakika ya 20 kwa mpira wa adhabu ndogo.
Thaban Kamusoko akafunga bao la pili baada y pasi nuri ya Donald Ngoma
Mnamo dakika ya 90 Patrick Sibomana aliwafuta Machozi apr kutokana na makosa ya golikipa wa Yanga Ally Mustafa ambaye aliutema mpira kwenye miguu yake
Yanga itakuwa nyumbani kuikaribisha APR FC kwenye mchezo wa marudiano utakaochezwa March 19, 2016 kwenye uwanja wa taifa, Dar es Salaam.



Post a Comment