Mechi ya kombe la Shirikisho la Soka nchini England FA baina ya wenyeji West Ham na Manchester United lilimalizika kwa ushindi wa bao 2-1 walioupata Manchester United.
Magoli ya Manchester united yalipatikana kupitia kwa Marcus Rashford na Marouane Fellaini dk ya 67 kipindi cha pili , Huku bao la west ham likifungwa na James Tomkins dk ya 79 kipindi cha pili, na Manchester United watakutana na Everton hatua ya nusu Fainali katika uwnaja wa Wembley.



Post a Comment